Mambo yakufanya mpenzi akichepuka.

Msomaji wangu, katika maisha ya kimapenzi hakuna kitu kinachouma kama kusalitiwa, tena kusalitiwa kunakouma zaidi ni pale unapobaini mpenzi wako kampa penzi mtu unayemjua halafu ukijilinganisha wewe na huyo aliyepewa unashindwa kuelewa kilichomshawishi mpenzi wako.

Lakini licha ya kwamba usaliti si kitu kizuri, watu wamekuwa wakisalitiana, tena sana tu. Inafika wakati unashindwa kuamini kama yupo mtu ambaye hajawahi kumsaliti mpenzi wake.

Niseme tu kwamba wapo wachache waliotulia ila asilimia kubwa ya walio kwenye uhusiano ni wasaliti hata tafiti zimedhibitisha hilo. Kama hali yenyewe iko hivyo, cha kujiuliza ni kwamba unapobaini mpenzi wako amechepuka na kakusaliti ni kipi unachotakiwa kufanya? Je, ni kuamua kunywa sumu kama ambavyo wamekuwa wakifanya wengine? Sidhani kama huo ni uamuzi sahihi.

Mtaalam wa masuala ya mapenzi James Johnson kutoka Marekani amependekeza mambo 10 unayoweza kufanya baada ya kubaini kuwa mpenzi wako amekusaliti.
Kubaliana na kilichotokea
Kama kashakusaliti ni tukio ambao limeshatokea na haliwezi kufutika. Kubali kuwa umetendwa, huzunika lakini mwisho liache lipite ili uweze kujipanga upya.

Usijalaumu
Wapo ambao wakishasalitiwa hujuta kukubali kuingia kwenye uhusiano na watu waliowatenda. Utamsikia mtu akisema ‘najuta kumkubalia awe mpenzi wangu’. Kujilaumu kwa namna hiyo hukutakiwi kwani kutakufanya uzidi kunyong’onyea.

Jitoe
Jifanye kama vile aliyesalitiwa siyo wewe bali ni rafiki yako kisha jiulize ungemshaurije? Ushauri ambao ungempata basi uchukue kisha uufanyie kazi.

Pima ulivyoathirika
Je, kitendo cha mpenzi wako kukusaliti kimekukosesha imani juu yake? Kama ni hivyo, unadhani una sababu ya kuendelea kuwa naye au unahisi madhara aliyokupatia huwezi kumvumilia?

Mpasulie ukweli
Kwa vyovyote utakavyoamua ni lazima umweleze juu namna alivyokuumiza kwa usaliti wake. Hata kama utampa nafasi nyingine lazima ajue jinsi alivyokuumiza ili iwe changamoto kwake.

Chunguza kwa nini kakusaliti
Usiliache likapita hivi hivi, unatakiwa kujua sababu ya yeye kukusaliti. Je, kuna ambacho anakikosa kwako au ni tamaa zake tu? Jibu utakalolipata litakusaidia katika maisha yako ya kimapenzi.

Usikubali akulainishe
Huenda huyo mpenzi wako ni ‘msanii’ na anaweza kukulainisha kwa maneno ambayo yanaweza kukufanya ukalichukulia tukio hilo kiurahisi. Kuwa na msimamo na eleza hisia zako kwa uwazi.

Amua kusuka au kunyoa
Likishatokea hilo jaribu kuzungumza na moyo wako. Uamuzi wa kuendelea kuwa naye au kumuacha uuchukue bila shinikizo. Hata kama kakuumiza, kama unadhani unaweza kumpa nafasi nyingine mpe ili usije ukajuta baadaye kwa kumkosa lakini kama unaona moyo wako unamkataa, muache.

Msamehe
Kwa uamuzi wowote utakaochukua ni lazima uwe tayari kumsamehe ili kuliondoa dukuduku lako rohoni. Kutokumsamehe kunaweza kukufanya ukawa unaumia kila wakati na kukosa amani.

Iwe fundisho kwako
Chukulia tukio hilo kama fundisho kwako. Huenda wewe ndiye uliyechangia kusalitiwa, kama ni hivyo badilika ili yasije yakakuta kama hayo utakapokuwa na mwingine. Pia kama kusalitiwa kumetokana na kutoridhika kwa mpenzi wako, kuwa makini wakati wa kuchagua mwingine wa kuwa naye.

Kwa njia hizi lazima apagawe

Umekuwa na wakati mgumu hivi karibuni kufurahia ngoma kila siku? Mambo haya yatasaidia kuwasha tena moto wa mapenzi na kukuwezesha kufika kileleni mara kwa mara!

1: Usilenge kileleni, kuna mlima wa kukwea Bidii nyingi kitandani si kiungo pekee cha kumtosheleza mwanamke; kila unapotia bidii ndivyo matokeo yanadidimia. Badala yake, tumia ujuzi zaidi; zingatia shughuli si shabaha. Kushiriki mapenzi si mashindano; achana na hesabu na ujivinjari!
2: Mwili wako kipimo tosha Mwili wako ni kipimo tosha kukuambia iwapo mambo ni shwari au la – acha kufuata kile ambacho mawazo na moyo unakuambia. Weka kando wasiwasi na uzime mijadala akilini mwako. Jifunze kubaini hisia na ashiki za mwili wako, na uzipatie usukani kama inavyotakiwa. Ni baada tu ya kujua kinachozuzua mwili wako ndipo utamwelekeza mwenzio maeneo atakayobonyeza. Habari Nyingine: Maneno sita ya kumfurahisha mpenzi wako
3: Weka kila kitu wazi Baada ya kubaini kinachozuzua mwili wako, jadili na mpenzi wako. Mwanzoni, mjadala huu hautakuwa rahisi lakini ndiyo njia ya pekee kwa yeye kupata ramani ya mwili wako. Usihofu, muambie kila kiungo kinachokuzuzua na atakushuru sana.
4: Imarisha ngoma Mambo mapya huleta uchangamfu na msisimko wa kipekee chumbani. Tupa nje mitindo ya zamani kumbatia mapya! Soma majarida kisha ujadiliane na mpenzi wako mitindo mipya utakayodondoa hapo, asije akadhania umetumbukia katika ponografia ama kuna jamaa anamfunza moja kwa moja. Habari Nyingine: Sababu nne kuu za wanandoa kulala pamoja
5: Kuwa na imani Kila kitu hutendeka kwa imani, hata kushiriki mapenzi. Uko na haki zote za kujivinjari; Mungu mwenyewe aliumba ngono kwa sababu anataka ufurahie mahaba!

Ukiwa na sifa hizi kwenye ndoa utaishi miaka mingi

Mara nyingi tunapofikiria namna ya kumpata mwenza sahihi, huwa tunaangalia ishu ya kumpata yule mwenye mapenzi ya dhati lakini kumjua anayekupenda kwa dhati, anayeweza kukupatia kile ulichokitarajia ni vigumu sana.

Ndiyo maana hapa chini nimekupa vigezo saba vya mtu ambaye anakupenda kwa dhati na anafaa kuwa mwenza wako endapo mtakuwa tayari mmeshaanzisha uhusiano wa kawaida.
MGUSO WA HISIA
Hakika mapenzi ni mguso wa hisia, kwa maana hiyo kigezo kikuu cha kuzingatia kwa mtu anayestahili kuwa mwenzi wako wa ndoa ni vile ambavyo hisia zake umeziteka. Hali kadhalika na wewe mwenyewe ulivyotekwa naye.
Amani na furaha vikitawala kati yenu unajiona upo huru kwa kila kitu na mnapokuwa hamuelewani kila kitu kwenye akili yako unaona hakiendi. Vivyo hivyo na yeye kwamba amani ipo pale mnaelewana na inatoweka mnapokosana. Huyo ni wazi mnaendana.
KUTOSHEKA

Ukiwa naye unajisikiaje? Umetosheka eeh? Akiwa mbali inakuaje, unahisi kuna upungufu mkubwa? Vipi na yeye anajiona hivyohivyo? Kama jibu ni ndiyo maana yake mnaendana kwa sababu ukamili wako unamtegemea yeye, hali kadhalika na yeye.

Anakata kiu yako yote? Na upande wake inakuaje? Ikiwa ni hivyo, basi anatosha kuwa mwenzi wako wa maisha.
MALENGO

Kila mtu anapoingia kwenye uhusiano wa kimapenzi, lengo lake huwa ni kudumu. Achana na hulka za viruka njia. Pointi hii inakujenga kujua matarajio ya mwenzako kuhusu wewe. Anakuhitaji kwa maisha yake yote au yupo na wewe kwa sababu hana pa kwenda?

Wengi wapo kwenye majuto kwa sababu waliingia kwenye ndoa na watu ambao hawakuwa na nia ya dhati nao, bali walijichanganya baada ya kukosa uelekeo.
ISHU YA MAWASILIANO

Anapenda kuwasiliana na wewe, ukimtumia SMS anaijibu ‘fasta’. Hatengenezi sababu ya kutowasiliana na wewe, daima anaona njia pekee ya kuwaweka karibu hata kama mpo mbali ni kuwasiliana. Nawe unampigia simu kwa wakati, unasikia raha kupokea ujumbe wake naye anaona fahari kupigiwa simu na wewe.

Kama hali hiyo ipo, basi upendo wa kweli upo na hiyo inatosha kuthibitisha kwamba mnaendana. Ukituma SMS naye akachelewa kujibu ni wazi haoni umuhimu wako.
NI WA SHIDA NA RAHA

Hapa ni hisia tu, ikiwa mnapendana kwa dhati basi akiumia nawe yatakuwa ni maumivu yako. Ikiwa hauna raha halafu yeye ni mwenye furaha basi huyo anakupenda kinafiki. Hatofautiani na yule anayebembeleza ndoa ili kuondoa mkosi. Kuwa makini, hakikisha unakuwa na mtu ambaye ni wa shida na raha.

ANAJUTA NA KUOMBA MSAMAHA

Mpenzi bora ni yule anayejutia kosa pale anapokukosea, pia anaomba msamaha. Hapa ieleweke kuwa kuomba msamaha peke yake haitoshi, isipokuwa anapaswa kuonesha wazi kwamba ametambua makosa yake na amejuta.

Kimsingi mtu mwenye sifa hiyo huwa hasumbui mnapokuwa ndani. Epuka mtu mbishi, anakosea na hatambui kosa lake na badala yake anajenga hoja.
HAYUKO TAYARI KUKUKOSA
Mnagombana anaumia lakini bado yupo na wewe. Anakuonesha waziwazi kuwa hayupo tayari kuachana nawe. Yupo radhi kutumia muda mwingi kutafuta suluhu ili muendelee kuwa pamoja. Hiyo inaonesha kuwa anakupenda kwa moyo mmoja.
Mtu mwenye moyo mgumu, mnagombana wala hashtuki na hatengenezi mazingira ya kurudiana, maana yake hana hisia za kweli, na anavyokuchukulia ni kwamba hata mkiachana yeye anaona sawa.
JIANGALIE NA WEWE!

Umeangalia yote hayo, sasa jiangalie na wewe mwenyewe. Moyo wako unakusukuma kuwa na yeye? Hilo ndilo swali la msingi kwa sababu mapenzi hayataki majaribio, ukiingia ndiyo imetoka. Yanini kujipa kumbukumbu mbaya baadaye?

Maisha bora au mabaya ya baadaye yanatokana na uamuzi wa leo, mwenzi sahihi wa maisha ni mbolea ya furaha ya kudumu baadaye. Kwa hiyo kabla hujaingia kwenye uhusiano wa ndoa ni vema kujiuliza mara mbilimbili.

KWA WANAUME: Mbinu za kuzuia kufika mapema On Top!

1. Mazoezi:

Kufanya mazoezi, mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwa hiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu. Kama una mwili wenye afya basi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra ambazo huchangia kwenye suala zima la kuwahi kufika kileleni. Hii hutokana na kuongeza kujiamini na kujihusudu.

2. Vuta Pumzi ya kutosha.

Pumua vizuri na kikamilifu, kiungo chochote cha mwili huhitaji nguvu kamili ili kufanya kazi na ndivyo ilivyo kwa habari ya viungo vya uzazi! Unapopumua vizuri na kwa ukamilifu, kiungo hiki hupata nguvu za ziada. Jaribu kupumua kwa ufasaha ili mwili uweze kupata hisia kabla ya kuanza kufanya msuguano. Kwa mfano unapofanya mapenzi inapofikia hatua unataka kukojoa stopisha kufanya na vuta pumzi ya kutosha

3. Mazoezi ya kukojoa mkojo.

Wakati unapokwenda kukojoa mkojo, fanya yafuatayo kojoa kwa sekunde mbili then stopisha mkojo, rudia tena kukojoa mjojo kwa eskunde tatu alafu stopisha tena. Fanya mara kwa mara kwa muda wa siku 14 hii pia yasemekana imesaidia baadhi ya watu LAKINI wa watu wenye tatizo la kibofu cha mkojo usijaribu hiii, may cause more problems.

4. Team work.

Mshirikishe mwenzako kikamilifu, kuridhika kimapenzi ni tukio ambalo wote wawili mnaridhika kikamilifu. Ili kujifunza kujizuia kufika kileleni haraka, ni vizuri kuwasiliana na mwenzi wako wa kimapenzi. Anaweza akakusaidia kushinda tatizo hili la kiaibu, kila unapohisi unataka kukojoa mapema, sema ‘ngoja’ na usitishe kwanza shughuli zote kwa muda kidogo

5. Maandalizi ya Kisaikolojia.

Maandalizi kifikra ni mabaya sana, kwa mfano upo ofisini na unajua jioni unakwenda kufanya mapenzi basi jitahidi usiwaze hivyo kabisa. Hii ni mbaya saya maana hormones zinasogea karibu sana unaweza hata kuishia kwenye mapaja ya mwenzi wako. Hata kama una miadi na mwenza wako au unamwndaa mpenzi wako chukulia kama ni kitu ca kawaida sana. Au ukisha mseti mwenza wako jitahidi kusahau kama unakwenda kucheza huo mchezo siku ya hiyo.

6. Movie

Usiangalie movie za mapenzi yenye ‘style’ zenye kuchochea kufika kileleni haraka. Ungaliaji wa movie za namna hii huchochea zaidi kupandisha ashki na mukari wa kufanya mapenzi ambapo unapokutana na mwenza hata kuingiza ni shida na huishia kwenye mlango wa uzazi wa kike. Hii ni kwa sababu kuongeza ari ya kuwaza tendo la ndoa pia inaongeza msisimko kiasi kwamba ukimgusa mpenzi wako tayari umekwishaachia hata kabla ya kuingiza.

7. Thoughts Diversion.

Hii techniques inamaanisha kuhamisha mawazo, kwamba unapofanya mapenzi inapofikia hatua unataka kuachia stopisha alafu hamisha mawazo yako kabisa kwenye hilo tukio. Unaweza kufikiria kitu kingine tofauti kabisa mfano unaweza kuwaza watu wanaokudai fedha na kadhalika, kuwaza kitu kingine cha kipumbavu ambacho kitakuondoa kwa muda kwenye eneo hilo just for one minute. Then unaweza kuendelea kama ile haali ya kukojoa imepotea, ni ngumu sana lakini just try.

8. Style za Mapenzi.

This is another killer for early ejaculation. Kuna baadhi ya style za mapenzi inapendekezwa kufanya baadha ya shoti ya kwanza ndo utumie. Kwa mfano unapoanza kufanya na style ye mbuzi kagoma au chuma mchicha hapo unatafuta balaaa aisee hasa kwa wale ambao wameadhirika na tatizo la kukojoa mapema, hii ni kwasababu style hiyo inakuwa na msisimko wa hali ya juu sana ikimabatana na constriction kwa wote wawili na haitakuchua hata dakika ushaachia wazungu weupe. Hii ni kwasababu shoti ya kwanza huwa ipo karibu sana uilinganisha na shoti ya pili, tatu na kuendelea.

Natumaini kwa leo hizi technieque nane zinaweza kukusaidia kwa namna moja au nyingine

Kwa Mbinu hizi lazima Mwanamke awahi mapema

1. MSICHANA AWE JUU.
Kama umewahi kugundua hilo,wanawake wanapokuwa juu,pawa yao ya kupampu juu chini sio kalai sana kama ya wanaume mara nyingi wanakuwa wako pole pole na kwa ufasaha zaidi
Kama mwanamke nae anaijua hii stairi kuwa itamsaidia mwanamme wake anaweza kufanya hiki kitu kwa ajili ya kumsaidia mpenzi wake,anaweza kumshika tumboni kwa vidole vinne na hili likaweza kumsaidia kuchelewa kufika kileleni.

2. NDANI-KWA-MUDA. Stairi hii mara nyingi hufanyika mwanamme akiwa juu,pia ni njia ya kukusaidia kuchelewa kufika kileleni kwa haraka. Mbinu hii itakusaidia kubadili muda wa kupampu kati ya ndani sana na kwa juu juu ya sehemu za msichana Kwa sababu mipigo mifupi mifupi itakusaidia kuchelewa kufika kileleni kwa sababu misuguano inakuwa midogo.

Pia unashauriwa kutumia mbinu ya mipigo 10.Kufanya hivyo piga 9 mifupi na mmoja ndani zaidi ya u***k**,tunaposema mifupi tunamaanisha uum** unaingia ndani kwa levo ya nusu au kichwa tu basi.

3.LAMBA-LAMBA.
Wakati wa kufanya mapenzi,na unapokaribia kifika kileleni,unaweza ukachomoa haraka haraka na kuanza kumlamba sehemu zake vizuri,hii itakusaidia ku re-relax na kuzia kupiga bao mapema pia hili litamfanya mpenzi wako awe na mudi pia.Baada ya muda kupita zitakuwa zimerudi, unarudi tena na itakuwa kama unaanza tena upya kugegeda hehehehe!!!(wengine mtaona kama kinyaa ndo mapenzi hayo utafanyaje sasa hehehehe!!)

Sehemu 10 zenye msisimko kwa mwanamke.

Kila mwanaume anapenda kua fundi wa tendo la ndoa akiwa faragha na mke au mchumba wake lakini bahati mbaya sana hakuna kanuni maalumu ya kumsisimua mwanamke kwani kila mwanamke ana eneo lake ambalo likiguswa anakua taabani hivyo ni wajibu wa mwanaume kulitafuta na kuligundua eneo hilo.
Mazoea ya kufanya mambo yaleyale kila siku kwa muda mrefu hufanya tendo hilo la ndoa lianze kua baya na huenda ikawa chanzo cha mtu kuchepuka kutafuta ladha zingine.
Kitaalamu katika sayansi ya binadamu kuna maeneo kadhaa ambayo wanawake wote wakiguswa hupata msisimko mkali lakini msisimko hutafautiana kutokana na mwanamke husika kama ifuatavyo.
1. Kichwani;

juu ya kichwa cha binadamu kuna mishipa mingi ya damu na ile ya fahamu hivyo maeneo haya yakishikwa homoni kama oxytocin na serotoinin huachiwa mwilini na kuleta msisimko mkubwa.

Jinsi ya kufanya;

mshike kwanzia nyuma ya sikio kisha ingiza vidole katikati ya nywele kama unamkuna kichwa bila kutumia nguvu.

2. Sikio;

sikio ni sehemu yenye mishipa ya fahamu inayoenda kwenye ubongo, mara nyingi sikio watu hua wanalipuuza sana na kuzani halihusiki lakini naomba nikwambie ni moja ya sehemu inayoweza kumfanya mtu achanganyikiwe.

Jinsi ya kufanya;

anza kwa kumnong’oneza kwa sauti nzito, kisha libusu sikio lake baada ya hapo unaweza kulamba sehemu ya sikio la nje na baadae kuingiza ulimi ndani ya sikio kabisa. hapa msisimko ni mkali sana na anaweza kukukwepa na kutoa sauti kali ya kimahaba.

3. Ulimi ;

ulimi ni sehemu ya mwili ambayo ina mishipa mingi mara mia moja zaidi kuliko ile mishipa ya fahamu ya viganja vyetu. msisimko wa ulimi unasababishwa kumwagika kwa homoni ambazo zinatuletea furaha ya mioyo yetu.

Jinsi ya kufanya;

busu tu inatosha kusisimua ulimi wa mtu wako, bahati mbaya kuna watu hawajui kubusu. ukiwa unabusu mtu usipanue mdomo mzima kama samaki mfu… fungua mdomo wako kidogo kisha nyonya lips za juu wakati mtu wako ananyonya za chini na hii ndio busu linavotakiwa kua.

4. Shingo;

hii ni sehemu ya mwili yenye ngozi laini sana ambayo inasisimka hata kwa kuipumulia tu na pua. ni moja ya sehemu nzuri sana kunyonya, kulamba na kubusu.

Jinsi ya kufanya;

ukiwa umemkumbatia mtu wako basi busu upande wa kulia au wa kushoto wa shingo huku ukinyonya ngozi la eneo hilo.

5. Chuchu;

wanaume wengi wanatumia sehemu hii kama sehemu kuu kumsisimua mwanamke, ni kweli kabisa tafiti zinaonyesha kwamba sehemu ya ubongo ambayo husisimuka chuchu za mwanamke zikiguswa ni sehemu hiyohiyo ambayo inasisimka kinembe na uke vikiguswa. kwa hiyo ni moja ya sehemu muhimu sana.

Jinsi ya kufanya;

tomasa matiti yote ya mwanamke kwa kutumia mikono yako miwili kisha nyonya chuchu yake taratibu huku kama unaing’ata na kuiachia. badilisaha kwa kuchocha chuchu ya kulia na kushoto.

6. Kiuno au mgongo wa chini;

kama umechunguza ni kwamba wanawake wengi husisimka sana wakiguswa viuno vyao ghafla hata wakati wa kukumbatiwa tu. hii ni sababu ya mishipa ya fahamu inayoenda hadi kwenye sehemu zake nyeti hupita huko.

Jinsi ya kufanya;

tomasa kama unafanya masaji sehemu ya chini kabisa ya kiuno kabla makalio hayajaanza. hii itamfanya arelax sana lakini pia kuongeza damu kwenda sehemu zake nyeti tayari kwa tendo la ndoa.

7. Tumbo;

tumbo ni sehemu ambayo watu wengi hawaitilii manani sana lakini misuli ya tumbo imeungana na uke moja kwa moja ndio maana baadhi ya wanawake hufika kileleni kwa kufanya mazoezi ya tumbo kitaalamu kama core exercises..

Jinsi ya kufanya;

tomasa tumbo lake kwanzia juu kabisa ya tumbo na kwenda tumbo la chini na kisha busu taratibu maeneo mbalimbali ya sehemu ya tumbo na unaweza kumalizia kwa kunyonya kitovu.

8. Katikati ya mapaja;

hii ni sehemu yenye msisimuko mkubwa kwenye mwili wa mwanamke, watu wanaondesha magari wanajua siri hii kwani wakimpakia mwanamke wanatumia njia hii kumsisimua kwa kuweka mkono mmoja kwenye mapaja yake.

Jinsi ya kufanya;

shikashika sehemu za katikati ya mapaja kwanzia magotini kwenda mpaka karibu na uke.unaweza fanya hivyo wakati ukiwa unambusu.

9. Nyayo za miguu;

nyayo za miguu zikiguswa hata kwa mtu ambaye sio wa kike zina msisimko sana kama wa kutekenywa hivi na sina msisimko mkubwa kuliko sehemu nyingi nilizotaja.

Jinsi ya kufanya;

shika nyayo moja ya mguu kisha kwa kutumia viganja viwili tomasa katikati ya mguu kwanzia kwenye kisigino mpaka kwenye vidole.usitumie nguvu nyingi…

10. Kinemb”’;

hii ni sehemu ya mwanamke ambayo kazi yake ni kuleta msisimko tu na raha kwa mwanamke..eneo hili linazaidi ya mishipa ya fahamu 8000, ni eneo dogo sana lakini shughuli yake sio ndogo. naweza kusema ndio eneo lenye msisimko mkali kuliko yote niliyotaja hapo juu na likiguswa tu mwanamke analoana kabisa.

Jinsi ya kufanya;

kidole chako kikubwa cha kinganyani bonyeza na kuachia sehemu hiyo kama mtu anayekagua parachichi pia sugua kwenda chini, juu na pembeni kuangalia muhusika anapenda wapi zaidi pia kama una uhakika na usafi au afya ya muhusika unaweza lamba lwa kuzungusha ulimi sehemu hiyo.

Mwisho; sehemu zote nilizotaja hapo juu ni muhimu sana kwa ajili ya kumuandaa mwanamke japokua kila mwanamke anapata msisimko zaidi kutokana na yeye mwenyewe alivyo yaani mwingine shingo linaweza kua na msisimko wa kawaida likiguswa lakini mwingine ikawa msisimo mkali zaidi.

Siri kuu 4 zitazomvutia Mwanaume

Kuna mbinu nyingine za kumvutia mwanamke ambazo haziwekwi hadharani kwa kila mtu kuzijua. Na hata kama ulikuwa ukizijua ni kuwa ulikuwa hutambua manufaa yake kwako hivyo ulikuwa ukizitumia vibaya. Mfano leo kama ungekuwa unazijua mbinu zote mwafaka za kumfanya mwanamke atamani kila kitu kutoka kwako si ingekuwa balaa?
Post ya leo tumeamua kukuandalia mbinu ambazo ukizitumia vizuri bila shaka itakuwa ufunguo wa kwako kuweza kulazwa na mwanamke yeyote yule.
Zama nami!

Siri za kumfanya mwanamke akupende

1. Kuwa na hadhi ya juu kijamii
Ushawahi kugundua vile watu matajiri na watu wenye hadhi ya juu huwa na maongezi na swaga ambazo huonyesha mamlaka? Watu aina hii huonyesha dhamana na hadhi ya juu kiasi cha kuwa hawaogopi kuonyesha hisia zao kwa mwanamke wala kuingiwa na wasiwasi wa kuwa wanaweza kukataliwa.
Wakati mwanamke anapokutana na mwanaume mara ya kwanza, hapo hapo hutoa uamuzi akilini mwake iwapo atalala na yeye au la. Kiujumla, haswa kwa wanawake warembo, huwa na nadhari iliyojengwa akilini mwao kwa vitu wanavyothamini. Vile ambavyo atakavyokukufikiria ndivyo atakavyokuchukulia kama thamani yake kwako.
Kiufupi ni kuwa, wanawake huvutiwa na wanaume ambao wamepita thamani yao ambayo wamejiwekea. Hapa ndipo unapofaa kutumua nguvu za kijamii kukuongezea hadhi yako katika jamii.

Kuna njia tofauti tofauti za kufanilisha hivi. Njia rahisi ni kuhakikisha ya kuwa watu wanakuzungumzia na kuongea kuhusu mambo ambayo umefanikiwa kufanya ama kutimiza.

2. Ujuzi wa kuwasiliana
Ok. Ushaongea na mwanamke kwa njia ya kumridhisha bila kuchekwa. Kila kitu kinaenda sambamba mpaka inafikia mahali flani unaishiwa na maneno ya kumwambia.

Ghafla, unamwona akikuangalia kwa matumaini, akitaka uendeleze na gumzo lakini unashindwa. Unabakia ukijiuma midomo na kujikuna kichwa huku ukimwona mwanamke aina hii akikutoka viganjani mwako na kuchukuliwa na mwanaume mwingine aliekaa pembeni. Situation kama hii inaumiza bila shaka.

Sababu kuu ambayo inawafanya wanaume wengi washindwe kuongea na wanawake ni kuwa wanaishiwa na mawazo ya kuongea. Ni muhimu kukumbuka ya kuwa katika mchezo wa kutongoza maongezi yako ni kama bango la mauzo kwa mwanamke. Hii ni kumaanisha kuwa kando na kuwa unajua kile ambacho unaongea, unafaa ujue jinsi ya kumudu na kuendeleza mazungumzo mazima.

Wakati unapomsuka mwanamke una muda mchache kabisa wakujifanyia mauzo. Hivyo ni muhimu zaidi upange hoja zako vile ipasavyo ili mwanamke akitoka hapo asiweze kukusahau kiurahisi. Na kufanikiwa kuujua ujuzi kama huu hauwezi kuja na siku moja, lazima ufanye mazoezi ya mara kwa mara mpaka ujeuke gwiji.

Kuongea na watu tofauti tofauti kutakusaidia kujenga confidence ambayo itakurahisishia kuongea na mwanamke wakati ambapo utakumbana naye.

3.Kuidhibiti miondoko ya mwili
Kulingana na utafiti wa kisayansi, binadamu huwasiliana asilimia 93 wakitumia miili yao na asilimia 7 kwa kutumia maneno. Ni muhimu kumakinika na kuelewa miondoko yako yote wakati ambapo unazungumza na yeyote yule.
Jitenge na tabia ya kuikunja mikono yako ama kujikunja kunja kwa sababu hio ni ishara ya kumwambia mwanamke akuondokee ukae pekeako. Na ukiendelea na tabia kama hii itakiwa kitu cha kwanza ambacho atakinotice wakati mumetoka deti.

Badala yake, tumia miondoko ya mwili ambayo inafahamika na kila mtu. Mfano ni kuegemea mbele wakati ambapo unaongea, kuifumbua mikono yako na pia kuweka pozi ambalo linaashiria kupumzika.

4. Kufanikiwa kiubora
Si jambo la kushangaza kwa wanawake kuwaona wanaume ambao wana ubora flani katika nyaja kama vile muziki, michezo, sanaa nk kuvutia kwa hali ya juu. Wanaume aina hii huwa wamejikuza na stadi zao kiasi cha kuwa wamebobea kwayo.

Ok tunajua ya kuwa ni kweli hauwezi kuwa mtajika kama vile Emmanuel Adebayor, lakini unaweza kutajika kwa maswala madogo madogo katika fani flani unayoipenda. Labda wewe ni bingwa mtajika katika gemu ya karata ama labda wewe ni kapteni wa timu yako ya raga nk.

Kulingana na shauku yako yeyote unayopenda, unaweza kumjulisha mwanamke kimtindo flani bila kujifanya kana kwamba unajipa sifa kujipendekezea.

La mwisho ni kuwa hizi ni baadhi ya mbinu ambazo unafaa kuzijua na kutimiza kama unatumaini kuwa na mafanikio ya juu kwa mwanamke.

Mambo yakuzingatia Unapokutana na mpenzi wakk

NI dhahiri kwamba mapenzi ni maisha na vita yake haijawahi kumuacha mtu salama, uwemwanajeshi, mbunge, kinyozi, au hata komando bado tu utaingia katika ulimwengu wa huba.

Unaweza kukutana na mpenzi mahali popote pale, iwe kwenye nyumba za ibada, sokoni,barabarani, kwenye magari, makazini, vyuoni na kama mtalisimamia vyema penzi lenu basi ni rahisi kuifikia hatua ya ndoa.

Baada ya siku ile ya kwanza mliyokutana ambayo haikuwa rasmi, mkabadilishana mawasiliano na mkaanza kuchati na kupigiana simu huku mkipanga mipango ya kukutana rasmi kwa ajili ya maongezi na kujuana zaidi. Yapo mambo mengi ya kuzingatia siku ile rasmi ya kukutana ambayo usipokuwa makini nayo ni rahisi kumpoteza huyo mwenzi wako ambaye huenda alikuwa na malengo mazuri kwako.
Muonekano:

katika kipindi cha kuchati unaweza kugundua baadhi ya vitu ambavyo mwenzako anavipenda na asivyovipenda, ikiwemo ni aina gani ya mavazi anapenda uvae na uwe na muonekano upi. Kama ukifanikiwa kujua nenda na muonekano ule anaoupenda ilimradi tu uwe wa heshima. Ukishindwa kugundua basi nenda na muonekano mzuri ukiwa umependeza lakini usishushe heshima yako. Kwa upande wa wanawake, epuka kupaka ‘make-up’ hadi ukatisha, zingatia tofauti kati ya muonekano wa usiku na mchana, usivae kama dansa wa Fally Ipupa.

Kuongea sana:

Jambo la pili muhimu la kuzingatia ni kuepuka kuongea sana mara baada ya kuwasili eneo husika mlilokubaliana kukutana. Hii ni kwa sababu ndiyo siku ya kwanza mnakutana, hakuna haja ya kuongea sana kujielezea kila kitu kuhusu maisha yako. Kwani ndani ya nusu saa mtu anakuwa ameshajua kila kitu kuhusu wewe. Wanaume hupendezwa sana na wanawake wapole na wasioongea sana kama chiriku. Kwa nini humpi mwenzako nafasi, muda wote unaongea wewe? Unataka kujua kila kitu kuhusu yeye kwa siku moja, msomaji wangu usitegemee kama ukitoka hapo huyo mtu atakutafuta tena.

Historia za wapenzi wenu wa zamani:

Hapohapo kwenye maongezi si vyema sana kuelezana historia za maisha yenu ya kimapenzi yaliyopita kwa siku ile ya kwanza, kwa mfano, unamuelezea mwenzio kwamba ulishakuwa kwenye mahusiano na wapenzi watano tofauti na wote wakafariki. Unategemea akitoka hapo anaondoka na picha gani akilini mwake? Lazima utampa woga na atafikiria kwamba endapo ataendeleza mahusiano na wewe basi atakuwa wa sita kufariki. Moja kwa moja unamkimbiza ndege wako. Kikubwa cha kuongelea ni kuhusu nyinyi na kwa jinsi gani mnaweza kustawisha penzi lenu changa.

Tamaa:

Miongoni mwa sababu inayoweza kuvunja mahusiano ni tamaa, si dhambi kutamani, lakini ni lazima ifahamike kwamba tamaa yoyote ile ikizidi ina madhara. Yaani ndiyo umefika tu umepewa nafasi ya kuagiza, ulivyo na tamaa unaagiza vitu vingi na vingine vya kubeba upeleke nyumbani. Kitendo cha kukuta mwenzi wako kapaki gari ya bei mbaya aina ya Range Rover unajua tu ana pesa, basi unaanza kumuorodheshea mambo kibao akufanyie. Kila biashara unataka akufungulie, kakukuta na simu ya tochi kisa umemkuta na iPhone mbili basi unaomba moja, yaani ni fujo tu. Baada ya hapo huyo mwanamme utamsikia kwenye redio; harudi ng’o!.

Ngono:
Kuna madhara makubwa ya kufanya mapenzi siku ile ya kwanza ya kuonana. Ukiachilia mbali uwezekano wa kuambukizwa magonjwa ya zinaa likiwemo gonjwa hatari la Ukimwi. Hii ni kwa sababu ndiyo siku ya kwanza mmepata nafasi nzuri ya kuonana na siyo kweli kwamba mtaanzia hospitali ili kucheki afya zenu. Lakini pia mimba zisizotarajiwa , halafu mwanamme akakukimbia kwani humjui vizuri , hupajui kwa ndugu zake wala marafiki zake. Isitoshe atakuwa hapatikani kwenye simu, matokeo yake unabaki kulea mimba isiyo na baba ,

Ni vyema kuvutiana subira mjuane vizuri , mjihakikishie usalama wa afya zenu na mkiweza msubiri hadi mfunge ndoa kama Mwenyezi Mungu alivyoagiza kwani kuzini ni dhambi,