Njia za kumnasa mwanamke kirahisi.

1.TAFUTA JINA LAKE KWANZA
Unapomtaka demu mkali mtaani kwako, kitu cha kwanza tafuta jina lake. Hii itakusaidia kumshangaza. Wanawake wapo hivi, huwa hawapendi sana kujulikana, inapotokea msichana huyo ukaonana naye na kumuita jina lake, kwanza atasimama, atakuuliza umenijuaje? Nani kakwambia jina langu? Usiogope, kwanza tabasamu, hilo litamfanya kuona kwamba wewe ni mtu mzuri, jibu utakalompa, hakikisha linakuwa lile la kukutafuta baadaye.

Kwa mfano unaweza kumwambia: “Mbona nakufahamu! Wewe ni staa sana hapa mtaani, kila mtu anakujua!” ukimwambia hivyo, atataka kujua zaidi na zaidi, ni akina nani wanaomjua halafu mbona yeye siyo staa! Unachotakiwa kufanya ni kujiweka bize, mwambie ‘nitakwambia nimekujuaje ila kwa sasa kuna sehemu nawahi.’

Ukifanya hivyo itamfanya yeye kuwa na hamu ya kukutafuta. Hata ukimwambia akutafute baadaye, atakutafuta kwa lengo la kutaka kujua imekuwaje. Ukiona ameelekea kidogo, mwambie niachie namba yako, nitakwambia, si hilo tu, kuna mengi kuhusu wewe.

Nakwambia hivi, kwa hatua hiyo, hakuna msichana ambaye atakukazia namba yake, lazima atakupa.

2.USIMLETEE SANA SHOBO
Akikupa namba, usijifanye kuwa na haraka ya kumtafuta. Unachotakiwa kufanya ni kucheza na akili yake kwanza. Najua atakuwa na hamu ya kupata simu yako, kwa siku hiyo mkaushie mpaka kesho yake ndipo umtafute. Kuwa makini, usimpigie, wewe mtumie meseji, mwambie “Upo poa staa wangu wa ukweli?” atakachokifanya ni kuuliza wewe nani! Inawezekana akawa anajua, ila kwa mapozi ya kike ni lazima ajidai kuuliza. Mwambie ni yule mshikaji wa jana! Ongezea kwa kumwambia kwamba utamtafuta ukirudi kutoka kazini, hata kama huna kazi, jiongeze kidogo.

3.MPIGIE SASA, ANZA KUMSIFIA
Wanawake wanapenda sifa, wanapenda kusifiwa. Kitu cha kwanza mwambie kwamba kuna siku uliwasikia washikaji wakimzungumzia, kwamba demu fulani mkali, anajua kuvaa, ananukia vizuri, ukataka kumjua ndipo wakasema kwamba ni yeye. Hilo litamfanya kujiona anakubalika sana, kumbe watu wanamsifia mtaani, kumbe wewe unamuweka kwenye saiti yako.

Ukiwa unazungumza naye, jifanye mcheshi sana, mchekeshe, mwambie na wewe ulivyokuwa na hamu ya kumjua msichana huyo msafi na mrembo ndiyo maana ukaamua kumtafuta. Mpaka kufika hatua hiyo, ataanza kukukubali, kwa ucheshi utakaomuonyesha atakuona wewe mtu mzuri na mtakuwa mnaanza kuchati. Usimtongoze lakini muonyeshee dalili za kumtaka. Chati naye hata kwa wiki moja halafu fanya njia ifuatayo;

4.MUOMBE MTOKO WA KIZUSHI
Hapa simaanishi mtoko wa kwenda klabu au ule mtoko siriazi sana, kwanza mwambie wewe siyo mtu wa klabu ila unataka kumpeleka sehemu fulani hivi kwenda kunywa kahawa au juisi. Kwenye kumuomba mwambie utajisikia furaha ukiwa unatembea na demu mkali kama yeye, mwambie kila mwanaume anajisikia fahari akitembea na msichana anayependeza na kunukia vizuri kama yeye. Kwa sifa hizo za mara kwa mara, atakwambia anayo nafasi hivyo atakukubalia.

5.KUWA MAKINI KWENYE MTOKO WAKO
Demu yeyote anapenda mwanaume mchangamfu, jinsi utakavyomuonyeshea uchangamfu kwenye simu iwe hivyohivyo hata ukionana naye na kutembea naye. Usimuonyeshee akahisi yule wa kwenye simu ni tofauti na huyu.

6. NENDENI MNAPOKWENDA
Usitake kutumia sana pesa, usitake kuingia gharama kubwa kwani mademu wana kawaida ya kumsoma mwanaume siku ya kwanza tu. Kama vipi mwambie wakati wa kurudi mtembee kwa miguu, hii itakupa nafasi ya kuzoeana sana, hata kama akitaka mpande usafiri, mwambie mtachukua mbele, kwanza omba kutembea naye hata nusu kilometa. Katika maongezi yote usijisifie ila mfanye ajue unajua mambo mengi sana.

Jaribu kumwambia mambo ambayo unaamini hata yeye hayajui na angefurahi kuyajua. Mwambie kuhusu hadithi ya Romeo And Juliet, mwambie kuhusu Malkia Cleopatra alivyotetemesha kwa uzuri wake, mwambie mambo mengi ambayo utaamini kwamba hayafahamu ila angependa ayafahamu.

MALIZIA KWA KUMWAMBIA HIVI…

Mkiachana na kurudi nyumbani, mpigie simu, mwambie unamisi uwepo wake, ungetamani uwe naye tena, unaimisi harufu yake, mwambie ulikuwa karibu na ua kwa hivyo ile harufu yake imekupata hata wewe. Mchekeshe kidogo, mwambie unamisi tabasamu lake, mwendo wake wa twiga, mwambie unamisi uzuri wake, yaani huo ndiyo muda wa kumsifia mpaka ajione duniani hakuna mwanamke kama yeye. Ukifanya hayo, jua kwamba huyo mwanamke lazima akukubali kwani atahisi yupo na mtu sahihi.

Mwanamke huangalia vitu hivi kwa mwanaume siku ya kwanza

Wasichana wengi pindi mnapokutana kwa mara ya kwanza hutazama mambo haya;

1.Kwanza hutazama tembea yako, kisela au kiheshima ili wajue kama una kazi au la.

2.Kama nguo zako zimefubaa unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.

3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna.

4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika.

5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance, hata hug hujawahi kupewa.

6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.

7.Ukiongea nae muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujamtongoza, anajua umempenda.

8. Ukimshika au kumgusa popote kwenye maongezi basi unamtaka kimwili.

9.Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke kwa muda mrefu.

10. Usipomtazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na unamuogopa

MKASA: House girl utanimaliza

Nipo kwenye lindi la mawazo kuhusu housegirl wetu ambae nilimpa mimba kwa bahati mbaya. Mimi nina mke na familia yangu huyu binti sasa anataka nimfanyie kitu mbaya maana mimba hataki kuitoa na kuondoka kagoma na muda unazidi kwenda mwishowe itaanza kuonekana

Sasa hivi anashinda kwenye TV tu na remote kazi hataki kufanya yote tisa, kumi sasa juzi Jumamosi usiku katumwa kazi na wife unaambiwa kamfanyia wife kiburi kisichosemekana katumwa akalete kitu dukani akakataa live akaambiwa akapike akakataa, akaanza kuongea kwa mafumbo huku akienda chumbani mimi nilikua bar kwenye mambo yangu.

Mdogo wangu wa kike ndio akazifanya zile kazi nyumba imekua very tense bomu linaweza kulipuka any time wife anamwandalia pesa zake aweze kuondoka maana kwa mawazo ya wife anadhani kwa kuwa hatujamlipa mshahara miezi mitatu mfululizo ndio maana analeta kiburi kumbe ni mimba.
Sijui niongee na Chale akodi wavuta bangi! Wakuu kati yenu kuna mwenye jawabu ya hili tatizo? Hivi kwanini huyu binti ananifanyia hivi!? Kwanini asikubali kupokea hela akaondoka, kila nachomwambia hataki, anasema eti nitamwacha, sasa Mimi simtaki tena, kwa nn tunalazimishana?
Wanaume wapo kibao why me? Wangapi wametoa mimba hawajafa? Mke wangu mwenyewe alishika mimba huku tuna mtoto mchanga wa miezi sita mbona aliitoa na hakufa? Sasa yeye ni nani hasa asitoe, mi naona nikodi wahuni tufanye elimination method.
Wadau nyumba inaungua naomba kwa imani zenu wote mniombee naahidi sirudii tena nikipona na janga hili maana wife wangu hanaga mchezo kabisa na mambo ya uzinzi msg tu ya simu alitaka kuniacha huko nyuma.Kuna mganga anaeweza kubadilisha matokeo ya tatizo kama hili?

Kama Mwanaume epuka mambo haya.

Kila ndoa inachangamoto zake na maana halisi ya ndoa ni ule uwezo wa wanandoa kuvumiliana katika changamoto hizo. Kuna changamoto za kimungu ambazo wanandoa hawawezi kuziepuka lakini kuna zile za kiuanadamua mbazo nyingi ni za kimakusudi na mtu huamua tu kuwa hivyo. Katika kuangalia ndoa leo nimeona nichambue aina kumi za waume ambao wake zao wanakereka kuwa nao;

(1) Wanaojiona kama Wafalme (King Husband);
Hii ni aina ya wanaume ambao hutaka kusujudiwa kama wafalme na hupenda kuwafanya wake zao kuwa kama watumwa. Hawafanyi chochote ndani ya nyumba kazi yao ni kutumatuma hata kama mke anaumwa atapaswa kuamka na kupika, wanataka waheshimiwe wao tu na mwanamke akikosea kidogo ni maneno au kipigo. Mwanamke hana kauli ndani na mume akiingia nyumbani ni kama bosi anavyoingia ofisini, wote kimya hakuna hata kuongea.

(2) Wanaume wanaojihisi bado hawajaoa (Bachelor Husband);
Hii ni aina ya wanaume ambao hawawashirikishi wake zao kwa chochote. Hufanya mambo kama vile bado hawajaoa, hutumia muda wao mwingi na marafiki zao wakifanya mambo ambayo mke hata hayajui, mke anaweza kustukizia tu mume kanunua gari bila kumshirikisha na mume haonyeshi hata kujali kuweza kumshirikisha. Hajali kama ana mke na mda mwingi huutumia akiwa na marafiki kufanya mambo yasiyo na msingi ambayo hayana mnanufaa yoyote katika ndoa yake.

(3) Wanaume wenye gubu (Acidic Husband);
Hawa hukasirika kila mara tena bila kua na sababu ya msingi, mambo hayaishi, kosa la mwaka juzi anaweza kukukasirikia leo. Wamemuudhi kazini hataki kusemeshwa na mnanuniwa nyinyi, mwanamke akiomba hela ya chakula ni shida ni kununa kutwa nzima, wanahasira na nirahisi kumpiga mke.

(4) Mume wa kila mtu (General Husband);
Hawa wanajifanya wasamaria wema, wanajali kila mwanamke, wanajali marafiki wakike wa mke na wakwao kuliko wanavyowajali wake zao. Mke anaweza kuwa na shida akasema hana hela lakini rafiki akampa. Wana marafiki wengi wakike na mara nyingi huwa hawaachani kabisa na ma X wao, wakiwalalamikia wanawasaidia kuliko hata wanavyowasidia wake zao wakati wakiwa na shida.

(5) Wanaume wanaojifanya wagumu (Dry Husband);
Hawa wanajifanya wagumu sana, hawana yale mambo ya kimahaba na wao hujua kuwa ndoa ni kuleta chakula tu na kushughulika kitandani. Hakuna kuongea na hawajali hata hisia za mke, mke akiongea kwao wala hawajali wanajifanya ni vidume sana na wanaona mambo kama vizawadi, kupiga simu, kutuma sms, kusema nakupenda, kununua maua ni mambo ya kike, yaani hawaonyeshi juhudi yoyote kuwafurahisha wekea zao.

(6) Wanaume wanaopenda kutumia wake zao (Panadol Husband);
Hawa huwa wanaume pale tu wanapokuwa na shida, wanakuwa na wake wazuri wanaowajali lakini wao wala hawajali. Wanapomhitaji mwanamke, wanapotaka mwanamke awafanyie kitu flani basi huja na maneno mazuri na hata kuleta vizawadi, wanajua udhauifu wa wake zao na huutumia kuwalaghai kuwatimizia mahitaji yao lakini wanapotimiziwa tu basi husahau hata kama wanawake, hawajali tena.

(7) Wanaume ambao hawataki kukua (Baby Husband);
Bado wanatabia za kitoto, hawawezi kufanya maamuzi yao wenyewe mpaka kuuliza kwa ndugu zao, mtu kaoa lakini kila siku humpigia simu Mama yake kuuliza hiki na kile. Yaani wakiongea kitu na mke nilazima aulize ndugu kwanza ndiyo kipitishwe na mke akifanya kosaakidogo kazi nikulinganisha mke na ndugu zake, mbona flani alifanya hivi, flani anaweza fanya zaidi na mambo kama hayo. Kwa kifupi hawawezi kufanya maamuzi na mkewe, ndugu zake hasa Mama yake anakuwa kama shemeu ya ndoa.

(8) Mume Mtalii (Visiting Husband);
Hawa wanakuja nyumbani kama wageni vile, mume ataihudumia familia yake kwa kila kitu lakini hawezi kuipa muda wake. Akirudi mke na watoto wamelala ni kugonga na hana sababu za msingi za kuchelewa, hata mwisho wawiki hupenda kutumia na marafiki au ndugu lakini si na mke. Hakuna kitu cha pamoja ambacho anafanya na mkewe au watoto wake, kila akiingia tu anakua na safari ya kutoka yaani hata atoke akakae nnje tu lakini si kukaa na mke au watoto.

(9) Wanaume wanaofuatilia kila kitu (Stalking Husband);
Hii ni aina ya wanaume ambao hufuatilia kila kitu, huchunguza kila kitu mwanamke anachofanya na hawampi pumzi. Akienda sehemu atachunguza anaenda na nani na alikutana na nani, huwa na wivu wa ajabu ajabu na kila saa huhisi wake zao ni wasaliti. Kila mtu mwanamke anayeongea naye wa jinsia tofauti huhisi ni mchepuko na hata marafiki wa mke wakike pia huhisi wanamkuwadia, kwakifupi hampi pumzi mwanamke.

(10) Mwanaume mbahili (Miserly Husband);
Huyu anaweza kuwa na hela lakini mbahili ajabu. Akimpa mwanamke hela atafuatilia matumizi yake mpaka senti ya mwisho, anafuatilia mpaka mambo ya jikoni. Sukari ikiisha anataka ajue iliisha ishaje na kila mara huhisi mke anamuibia hela labda akajenge kwao, huwa msumbufu sana na mgumu kutoa hela. Mwanamke akifikiria mchakato wa kuomba hela kwa mume hukata tamaa na wakati mwingine kuamua tu kukaa kimya na matatizo yake.
Hiyo ni baadhi tu ya aina ya wanaume ambao wanawake wengi wasingependa kuwa nao. Kama mwanaume upo hivyo jua mke wako hafurahii na anavumilia tu. Ndoa ni furaha amua kubadilika na usimfanye mke wako kuishi na wewe kwa kujilazimisha. Kama ni mume jiulize uko namba ngapi hapo na kama ni mke mezea namba ya mumeo

Imarisha Ndoa yako kwa mbinu hizi.

Epuka hasira;
Usishughulikie changamoto kwa hasira, jazba na mhemko. Kwa asili binadam hapendi kushambuliwa hata kama ana makosa. Usimkabili mpenzi wako ukiwa na hasira. Kama unataka matokeo mazuri, basi subiri pale mtakapokuwa mmetulia hapo utaweza kumkabili na kuzungumza naye kwa utulivu. Moja kwa moja utamuona akilifikiria jambo hilo kwa utulivu huku akijilaumu. Hii ni njia bora kabisa ya kushughulikia changamoto za mahusiano. Kadhalika iwapo mpenzi wakoamefanya kosa usisahau kuwa anayo mazuri pia. Miongoni mwa sababu kubwa za wapenzi kuachana ni pale wanapojikita kwenye mabaya na kusahau mazuri ya upande wa pili.
Epuka kumuaibisha mbele ya watu;Hakuna kitu kinachomkasirisha mtu kama mpenzi anayemkera na kumuaibisha mbele ya watu, mbele ya marafiki na jamaa zake. Jambo hilo huwa na taswira hasi kwenye saikolojia ya mtu hata kama ulikusudia kufanya utani tu. Huwezi kujua reaction yake kwa ulichokifanya. Hivyo, epuka sana jambo hilo ili mahusiano yenu yasonge mbele kwa amani.
Epuka kupiga makelele:Unapotaka kuwasilisha hoja yako tumia sauti, usitumie kelele. Hakika sauti mbaya zaidi ni sauti ya punda, basi usiifanye hoja yako kutawaliwa na sauti kama ya punda badala ya sauti maridhawa iliyojaa madaha na umaridadi wa kimahaba.
Acha kumpigia makelele mpenzi wako na kumkumbusha kasoro zake kila mara, kwa sababu hakuna mtu mkamilifu, na upendo wa kweli hujengwa kwenye kustahmiliana na kuvumilia kasoro za mwenzako. Usijaribu kuyalinganisha mazuri ya watu wengine na yale ya mpenzi wako. Hao wengine unayajua mapungufu yao? Je, huyo unayemlinganisha na mpenzi wako umeziona kasoro zake na mpenziwe? Usimfanye mpenzi wako ajihisi duni kwa kasoro zake, bali muoneshe kwamba licha ya kasoro zake bado ni Majnun wako.
Vitendo vya kimahaba vitawale mahusiano yako:Mahusiano mengi hufa kwa sababu zinakosa vitendo vya kimahabba kutoka kwa wapenzi husika. Hakika vitendo hivyo humuonesha mpenzi wako kuwa unafurahia kuwa naye. Vitendo vya kimahabba ni zaidi ya tendo la ndoa. Vitendo vya kimahabba huakisi ulimwengu wako wa ndani. Pumzi zako huwa romantic, maneno na kauli zako huwa romantic, mapishi yako huwa romantic, mavazi yako huwa romantic, chumba chako huwa romantic, maji ya kukoga huwa romantic…. Hakika kila kitu chako huonesha umaridadi wako wa kimapenzi.
Usiwe kama bosi wake:Usijaribu kumwambia mwenza wako anachotakiwa kufanya kazini kwake. Anapokuwa amekosea jambo fulani kazini, usijaribu kumkosoa na kumnanga, bali msikilize na umpe moyo wa kukabiliana na changamoto hiyo. Mwambie kuwa unaamini anaweza kuitatua.
Mfanye kuwa kipaumbele chako:Unapoingia kwenye mahusiano, basi mtu ambaye anapaswa kuwa namba moja katika maisha yako ni mwenza wako. Sio kazi yako wala familia yako. Kwa kufanya hivo utamfanya mpenzi wako ajihisi ni wakipekee zaidi na azidishe upendo wake kwako na ashikamane nawe zaidi na hivyo kuyafanya mahusiano yenu yadumu zaidi na zaidi.

Ukiachwa jifunze kusema “MWACHE AENDE”

Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha. Kwanini upoteze Muda wako,Pesa,au kwanini upoteze uhai wako ilihali unayempenda hakupendi au hakuitaji tena katika moyo wake. Jibu la maswali yote hayo ni kujifunza kumuacha aende! Hapa utakua umepona Maradhi yanayoutesa Moyo wako.

MUACHE AENDE !
• Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na uzuri. Usimlazimishe akupende, mwache mwenyewe akupende, kama hakupendi…

MWACHE AENDE !
• Wewe ni wa thamani mno kulilia penzi. Mtu ambae anakupenda kweli atakuheshimu na hataku ‘treat’ kama uchafu. Kama atakuchukulia wewe kama uchafu…

MUACHE AENDE !
• Usipoteze muda wako wa thamani kujaribu kumshawishi au kuomba mapenzi. Mtu mwingine pembeni anakupenda wewe kwa dhati, ila wewe uko busy mno kumuogesha nguruwe! Kwanini?

MUACHE AENDE !
• Usikasirike pale mtu wako anapompenda mwingine tofauti na wewe. Siku zote hua ni vigumu kumshawishi NYANI kwamba Asali ni tamu kuliko ndizi…

MUACHE AENDE !
• Mwanamke/mwanaume yeyote anaekuchukulia kirahisi siku zote atachukulia faida kwako, atakugeuza atakavyo kama chapati akijua hufurukuti, yeye sio Mungu wa kukufanya atakavyo…

MUACHE AENDE !
• Kuna watu hawatakupenda hata kama utajitoa kiasi gani kwao. Ni sawa tu. Kukukataa kwao haimaanishi kwamba una kitu kibaya, bali ni maana kwamba hawako kwa ajili yako. Usilazimishe duara kuwa pembe tatu…

CHA KUJIFUNZA
• Hauwezi badilisha maoni mabaya ya watu juu yako, ila unaweza ukazuia maoni yao mabaya yasikubadilishe wewe kama wewe!

• Acha kichwa chako kiongoze moyo wako kukuondoa katika mahusiano sumu. Lengo la mahusiano sio kuleta mafadhaiko ila ni kuongeza furaha juu ya ile uliyokuwa nayo mwanzoni ulipokuwa haupo ktk mahusiano.

Jifunze kumuacha aende hata ni kama kwenye ndoa, vitabu vya dini vinaruhusu kabisa kuvunja ndoa kwa kesi ya Uzinzi.

NI NGUMU SANA ILA KWA MUSTAKABALI WA FURAHA YAKO YA SASA NA YA BAADAE ME NAKWAMBIA MUACHE AENDE MPE NA NAULI KABISA!

Dalili za mpenzi wako kuchepuka

Kuchemka hadi kumwagika “The Boil Over” Katika hali hii unaanza kuziona dalili za kuachana kwenu kwa mbali. Labda mwenzako amekuwa akifanya au kusema vitu fulani kwa muda mrefu na vimekuwa havikufurahishi, kila unapotaka kumpasukia kunakitu kinakwambia subiri, mpe nafasi nyingine, ndani yako unajiona kabisa kuwa wakati umewadia sasa wa kumpasha habari yake kwa mara ya kwanza na ya mwisho, na pia ndani yako unakuwa na utayari wa kubeba majukumu kwa chochote utakachomwambia. Gafla sikumoja kinatokea kitu kidogo tu, labda ni neno lililosemwa au kitu kilichofanywa na wewe au mpenzi wako, mnagombana na kutofautiana sana na kutokana na machungu na maumivu ya muda mrefu moyoni mmoja anaamua kuutumia upenyo huo kulitamka neno “it’s over” (naomba tuachane) na huo unakuwa mwisho wa penzi lenu. 2. Kuachana kimlipuko Yako baadhi ya mahusiano ambayo huwa yana vipindi vya amani kwa kitambo kidogo na milipuko ya magomvi kwa kipindi kingine. Milipuko hii simaanishi kule kutoelewana kwa kawaida bali mahusiano yanakumbwa na milipuko ya kutoelewana kwa kitu fulani kizito, au ugomvi unakuwa mzito na wenye kuyumbisha pande zote mbili. Kwa mfano baada ya kitambo cha amani na mapenzi kunagundulika mahusiano ya pembeni kwa mmoja wa wapenzi na hili linazua mlipuko wa ugomvi ambao gafla unalizima penzi na ule ukaribu wenu unafifia ghafla na kutokomea jumla. Yamkini ni mlipuko mmoja tu umetokea lakini mpenzi mmoja aliyeumizwa hatamani hata kumwona mwenzake kwa macho, wapendanao hawa wanajeuka maadui ghafla utadhani hawakuwahi kupendana. 3. Leo nje kesho ndani, kesho baridi kesho kutwa moto Hii ni staili ya kuachana ambayo wengi wetu huitumia mara kwa mara na maranyingine pasipo mhusika mmoja katika penzi kufahamu kwamba safari ya kuachana ndiyo inawadia. Katika mahusiano ya watu wa namna hii kunakuwa na mazingira yanayowafanya leo wanakorofishana kesho wanapatana, kesho wanakuwa pamoja keshokutwa unaskia hawapo tena pamoja, mara unasikia wamerudiana, tena wanakuja kufarakana na tabia hii inakuwa ndiyo maisha yao ya kilasiku na mfumo wa mahusiano yao. Tabia hii huendelea kudumu hadi inafika nyakati mmoja akitoka basi anatoka jumla, kila mwenzake akiwaza kwamba yamkini atarudi kama mazoea yao yalivyo lakini haiwi hivyo tena na penzi lao linakatikia hapo. 4. Mkate ulioungua “The burning bread” Mara nyingi tunapopika mkate huuweka kwenye joto kali ili uive na mara kwa mara muokaji huuangalia kama umeiva kwa kuutumbukizia kitu kikali kama vile uma ili kuangalia hali yake ya ndani ilivyo na kufahamu maendeleo ya uivaji wake. Mkate uliosahaulika kuangaliwa mara kwa mara huungua na muokaji anapokuja kuutoboa ndipo anapofahamu kuwa mambo yameshaharibika na mkate sio wakuliwa tena. Katika mahusiano yetu hususani kwa baadhi ya wale walioweza kukaa muda mrefu au hata waliooana, bahati mbaya kwasababu ya masumbufu ya maisha ya kilasiku na mapenzi ya kimazoea wakasahau kuchochea na kuziamsha hamasa za penzi lao kila mara, hisia za ukaribu ndani yao kufa, penzi hilo taratibu huonekana kushuka na kupoa na taratibu pasipo wapendanao hawa kugundua kilakitu kinakuwa cha baridi, kisicho na ladha na kilammoja akitamani penzi jipya la tofauti na yamkini kutoka kwa mtu watofauti sio huyu tena. Hii inapelekea wawili hawa kuchagua kuachana, tena mara nyingine kwa mmoja kugundua kuwa mwenzake anampenzi mwingine. 5. Ghafla moto ghafla kupoa “Microwave style” Kama umewahi kutumia mashine ya kupashia joto chakula “microwave” utaelewa kitu ninachojaribu kuzungumza hapa. Yako mapenzi ambayo yameanzishwa gafla sana na yaka paa juu sana, kila mmoja akimhisi mwenzake kiukaribu sana, na hisia za wawili hawa zinakuwa za moto kama zilizowekwa kwenye.microwav’e, kila mmoja akihisi kwanini hatukujuana awali, kwasababu ni kama vile Mungu alituumba tuwe pamoja kuanzia tukiwa wadogo, lakini ghafla mmoja kati ya wapendanao hawa anazimika na kutoendeleza tena moto uliokuwepo. Kwa mfano mlianza ghafla kuhusiana na mapenzi yakawa moto kuliko mlivyofikiri, kilasiku mkowote na lazima muonane, ghafla mwenzako hapokei simu, na wala akiiona simu yako hawajibiki kukupigia, na tabia hiyo inaendelea hivyohivyo hadi unakata tamaa na unaamua kukubali yaishe. Mapenzi haya yaliwaka na kuzima kwa mtindo wa microwave. Mara nyingi wapaenzi wanaoachana kwa aina hii ni wale waliokutana kwenye mazingira kama vile safarini, kwenye basi, treni au ndege, waliokutana kwenye muziki au sherehe nk.

Sio kila anayepiga kelele kitandani ameuelewa mchezo.

Kwa mwanaume hakuna kitu kinakuwa sexy kama mwanamke ambaye anakuwa loud kitandani na si kuwa na vikelele tu bali kujihusisha moja kwa moja kwa mwanamke katika kuongea maneno matamu au sweet words). Mwanaume akiwa kwenye game anapenda sana kujua mke wake anajisikia vizuri kwa kile anafanya na kwamba mwanamke anaonesha total participation, pia vile mke unatamka jina la mume wako kwa manung’uniko ya kimahaba huleta raha sana pamoja na vikelele vingine kama vile ooooh! aaah! mmmh! nk humpa uwezo zaidi mume kuendelea kukurusha kwa namna ya ajabu na kuweza kukuridhisha inavyotakiwa. Kawaida mume huaanza kukuuliza kama kile anafanya unakipenda na kwa njia hii ni vizuri wewe mwanamke kumweleza vile unajisikia na unaweza kuji-express kwa uwezo wako wote na hapa ndipo unaweza kuongea sweet word zote (ulizojufunza au kadri feelings zako zinavyokupa taarifa kwenye kiungo kile kinapata raha au kinaguswa kwa mguso mtamu zaidi) si unajua mapenzi ni sana na msanii mzuri anajua nini aongee na aongee namna gani na mwanamke umejaliwa kuwa na sauti ambayo kwa miguno na kulalamika kimahaba mnaweza kuwa na sherehe nzuri sana ya kuwa mwili mmoja. Kuwa kitandani ni nafasi kubwa sana mke kuweza kuonesha umaridadi wake haina haja kushona mdomo au kubaki kimya kama vile mume amelala na gogo badala jitume kwa maneno na matendo, huu ni uwanja wako, mume wako, jipe raha na enjoy raha ya mwili. Piga kelele kwa raha zako na unaweza kutamka kitu kizima kizima bila woga maana huyo ni mume wa ujana wako. Wanaume nao wakati mwingine huwa insecure kama wanawake wakiwa kitandani hivyo kumtia moyo kwa miguno na vikelele vya kimahaba huweza kumpa ushahidi kwamba una-enjoy kile anafanya na kwamba skills zake na utaalamu wake mke unampa credit naye atajisikia vizuri na kufanya zaidi na hata kujifunza siku nyingine afanye kwa ufundi zaidi. Hivyo usiogope kuwa mbunifu, lazima uwe mshangiliaji mzuri kwenye mechi na mumeo na hiyo itakuhakikishia furaha zaidi wakati wa kuwa mwili mmoja. kama ni shule basi maksi zako ni zaidi ya 95% Mambo ya kuzingatia Hata kama wanaume huwa tunafurahia sana mke kuwa noise kitandani ni muhimu kuwa makini na sauti kwani kupiga kelele kama unapigwa na majambazi si ustaarabu kwani mtaa mzima unaweza kuhamaki na kuja kutoa msaada kumbe watu mnapeana raha zenu au mnaweza ku-attract mijitu inayopenda kupiga chabo bure. Ni vizuri hakikisha chumba kina Mfumo mzuri wa kuchuja sauti kwani mnaweza kushtakiwa kwa kuzingatia kifungu cha sheria cha Antisocial behaviour order kwani baadhi ya nchi zinafuata na mnaweza kuishia jela au mkajenge nyumba yenu huko shamba mpigiane mikelele yenu. Wanasayansi katika utafiti wao wamegundua kwamba mwanamke anapokuwa na kelele kitandani wakati wa kuwa mwili mmoja mwanaume huwa na asilimia 59 za kukojoa (siyo mkojo) tofauti na asilimia 2 kwa mwanamke kuwa kimya na pia mwanamke huwa na kilele zaidi kitandani akiwa fertile na kwa mwanamke kuwa na kilele speed ya mwanaume na uwezo wa kusugua huongezekana maradufu wakati wa kuwa mwili mmoja

Siri kubwa juu ya Mabinti wembamba.

Ni jambo la busara sana tukijaribu kuangalia hili kiunagaubaga kwa maana kuna mizozo mingi tuu huko kunako mitaa na tarafa za kimahaba na huba. Watu kibwena wanajiswalika kuwa, Je, ni nani mtamu zaidi kuliko mwingine kati ya mwanamke mwembamba na yule mnene?

Mimi ninaweza kusema kuwa mwembamba ni mzuri zaidi kuliko mnene kutokana na hoja za wadau wangu ambao wamepata bahati ya kuwavua ch^pi na bikin! wanawake wembamba pamoja na wale wanene na wakaweza kulinganisha ubora wao kitandani. Wanadai kuwa:

Mwanamke mwemba mara nyingi ana uch^ usio na maji kabisa ukilinganisha na wale wanene wanaodaiwa kuwa na maji mengi sana chini. Zingatia kuwa wanaume wengi hawawapendi wanawake wenye maji mengi chini.
Pili wale wembamba wana maumbile yanayoruhusu mwanaume kupenyesha dushee lake kirahisi na hivyo kutokutumia nguvu nyingi sana wakati wa kumwadhibu kwa fimbo hiyo ya nyama. Mnene ni balaa kabisa mtu wangu. Ni lazima ule vizuri na ushibe kwa maana utatumia nguvu ngingi sana katika kupambana na limwili likubwa kwanza kabla ya yote si hatari hiyo?
Tatu na mwisho, mwanamke mwembamba akideka huwa inafanania na kweli kwa maana maumbile ya mwili wake ni madogo na hivyo mwanaume hujihisi kuwa anamtandika kisawasawa. Lakini mnene sana akilia mwanaume huhisi kuwa anadanganywa tuu. moyoni hujisemea hapa ni wizi mtupuuuuuu!

USHAURI: Boyfriend wangu anataka wakati mimi bikra.

Mambo! Mwalimu wa Mapenzi. Naimani kupitia Makala zako nitapata msaada wa mawazo tafadhali.

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 23,naishi kigamboni,nimemaliza chuo mwaka jana.

Nina Tatizo linanisumbua,nashukuru Mungu nimeweza kuvumilia kwa muda mrefu bila kulala na Mwanaume.Nimeweza kuhifadhi zawadi nzuri yenye thamani kubwa ambayo kwa mwanamke mwenye Heshima zake anastahili awe nayo kwa ajili ya kumpa mume wake baada ya kufunga Ndoa(namaanisha kuwa mie bado bikra).

Tatizo Linalonisumbua ni kwamba kila muda Boyfriend wangu ananisumbua anataka nifanye nae mapenzi,nikimnyima anasema kuwa simpendi,na kiukweli mi nampenda tena sana,na ninajisikia vibaya ninapomuona mpenzi wangu amenuna amekosa furaha,

Kwani hakuna Njia nyingine ya kumfanya aniamini kuwa nampenda bila kufanya nae mapenzi?

Ninachotaka mimi Nimpe Penzi kwenye Usiku wa Fungate kama Zawadi Special kwa ajili yake lakini Naogopa nikiendelea kumnyima nahisi ataniacha au atanisaliti akapate ninachomnyima kwa wanawake wengine.

Naombeni Ushauri Nifanyeje?