Sms 25 zitakazoboresha ndoa yako

1.Mahaba unayonipa natamani niwe nawe mpaka kufa, kila siku zinavyozidi kupita najuta kwanini nilichelewa penzi kukupa, nakupenda na nitakupenda hadi kufa

2. Hivi ni lini penzi utanipa, nimechoka na ahadi unazonipa kila kunapokucha, tambua kwako nimefika na siku utakayonipa zawadi nzuri nitakupa na hutanisahau hadi kufa.

3.Nisamehe la azizi ukweli mbona uko wazi, yule si wangu mpenzi ila ni rafiki yangu kipenzi, yangu mapenzi ni wewe pekee nayekupa mpenzi, katika hii dunia ni wewe pekee penzi nayekupatia!

4.Uko wapi wangu malkia, mwenzio hamu nasikia nawe, ndiye ujuwaye hamu kunitoa, tafadhali dear upatapo msg hii tambua nyumbani nakusubiria! Luv u

5.Hakika raha wajua kunipatia, fimbo wajua kuitumia sharti mtoto wakike nabaki nagugumia kwa raha unayonipatia ambayo wengi wanaililia , plz utamu wangu nitunzie!

6.Nashukuru kwa miguno uliyonipatia na kiuno kunikatia, utamu niliousikia nilitamani kulia hatima ilipowadia , nakupenda dia usije utamu wangu mwingine kumpatia! Luv u

7.Wikiendi ndiyo imeisha, majukumu hatunabudi kuyatimiza dear, kuwa nawe muda mrefu nimefurahia nakujihisi malkia katika hii dunia kuwa nawe najivunia. Luv u

8.Wangu Malkia nashukuru kwa mahaba uliyonipatia, nikikumbuka miguno na viuno ulivyonipatia na raha niliyojisikia, nahisi kuna mwingine unampatia, please dear penzi langu usije wengine kuwapatia! Nakupenda.

9.Nashukuru kwa yako dozi hakika katika mapenzi wewe ni mkufunzi, wajua bakora kuitumia, mpenzi usije ukawa na mwingine unayempatia, hakika nikijua nitaumia kama sikujiua. Nnakupenda!

10.Nimeamini wewew ni mtalam wajua kunitoa hamu, unipapasapo huhisi kupoteza fahamu, maneno yako matamu hunizidisha hamu, hakika wajua kunikamua, luv u

11.Hakika nimepata tabibu, maradhi yangu wajua kuyatibu, napenda jinsi unavyonitibu, huna papara yaani ni taratibu, mpenzi usijemuonyesha mwingine hizo zako zabibu, maswahibu yakatayonisibu hakuna atakayeweza kuyatibu, nakupenda.

12.Usiku wa jana ulikuwa wa aina yake, ulinipa mambo matamu yasiyo ya kawaida, ulinifurahisha sana mpenzi wangu, ulidhihirisha kuwa wewe ni kidume uliyeubwa kwa ajili yangu.

13.Nakumbuka siku utamu ulityonipa maneno matamu kedekede hukusita kunipa na ahadi kibao masikioni mwangu zilisikika, hakika roho yangu haikusita kuamini kwako nimefika, nashangaa leo utamu hutaki nipa!

14.Wikiend ndiyo siku niliyokuwa nikiisubiria mimi nawe mpenzi tupate tulia, mahaba na maneno matamu ndio zawadi niliyokuandalia. Kumbuka yetu miadi na jali wakati

15.Masika ndiyo hiyo imewadia, baridi nalo ndio limenichachia, mpenzi lini waja joto kunipatia? Mwezio naumia!

16.Nashukuru kwa yako dozi hakika katika mapenzi wewe ni mkufunzi, wajua bakora kuitumia, mpenzi usije ukawa na mwingine unayempatia, hakika nikijua nitaumia kama sikujiuam. Nnakupenda!

17.Nimeamini wewew ni mtalam wajua kunitoa hamu, unipapasapo huhisi kupoteza fahamu, maneno yako matamu hunizidisha hamu, hakika wajua kunikamua, luv u.

18.Kuwa nawe najivunia, mtoto mapenzi wayajua, kiuno, sauti yako tamu mithili ya chiriki wajua hasa kuitumia, mua wangu wajua kuukamua, ukiniacha jua nitaumia, nakupenda usije niacha nitajiua!

19.Usiku unapoingia najawa na furaha unajua kwanini? unaponigusa nahisi tumeumbwa wawili, mchana nakumisi sana unapokuwa kazini, wikiendi natamani isiishe kwani unanipa raha ambazo siwezi kuzipata popote. . .Naomba raha hizi usimpe mwingine. . .

20.Kila ninapoona macho yako nafurahia uwepo wako,nikiona tabasamu lako,nasikia homa ya moyo,nikiona chozi lako la furaha, moyo wangu unakuwa huru kwako,nakupenda sana mpenzi wangu na wewe ndiye valentine wangu. . . Pokea busu mwaaaah

21.Pumzi yako kwangu ni burudani ya ajabu, nakupenda sana busu lako maridhawa shavuni mwangu.wewe ndiye furaha katika maisha yangu.labda ulikuwa hufahamu,nimekuficha moyoni mwangu mpenzi!

22.Darling jana umenikuna. . . .umenikuna c kdogo . . . .nililia ukanibembela,niliponyamaza ukaniliza tena,lkn fahamu kulia kwangu c maumivu bali utamu wako

23.Nashukuru wangu laaziz kwa uwepo wako, naamin meng kunitimizia na kukata kiu la penzi langu kwa wako uhodari. Krbu mpz nikate kiu yangu.

24. Haki yanani mpz unanidatisha ukitembea unatingisha, mwenzio unanipagawisha kwako nimefika na hii namaanisha nakupenda

25.Mahaba unayonipa hakika nafarijika, mpenzi niliyemtaka hakika nimekupata, kiu yangu wajua kuikata, kuwa nawe hakika nimeukata kwani wajua kunipa bata! Luv u, mwaah

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *